Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) na washirika 45 wa masuala ya kibinadamu na kimaendeleo wameiomba jamii ya kimataifa msaada wa dola milioni 81 kwa ajili ya kuokoa maisha kwa zaidi ya wahamiaji milioni moja wakiwemo wanawake na watoto na jumuiya zinazowahifadhi katika nchi za Djibouti, Ethiopia, Somalia, Tanzania, Kenya na Yemen.
Related Posts
Ansarullah yapuuza hatua ya Marekani kuiweka harakati hiyo kwenye orodha yake ya magaidi
Ansarullah ya Yemen imepuuza uamuzi wa hivi karibuni wa Marekani wa kuiweka harakati hiyo ya Muqawama kwenye orodha ya makundi…
Ansarullah ya Yemen imepuuza uamuzi wa hivi karibuni wa Marekani wa kuiweka harakati hiyo ya Muqawama kwenye orodha ya makundi…
Jihadul Islami: Hatutaruhusu kufukuzwa Wapalestina Gaza
Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina mjini Tehran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kutekelezwa mpango wa Marekani wa kuwaondoa…
Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina mjini Tehran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kutekelezwa mpango wa Marekani wa kuwaondoa…
Jeshi la Israel laendelea kukalia maeneo ya ardhi ya Lebanon licha ya muhula wa kuondoka kumalizika
Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon…
Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon…