Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani wito wa Rais wa Marekani wa kufutwa usitishaji vita katika eneo la Ukanda wa Gaza hadi pale harakati hiyo ya mapambano ya ukombozi wa Palestina itakapowaachia huru mateka wote wa Israel waliosalia katika muda wa siku chache, ikisema Donald Trump lazima akumbuke kwamba njia pekee ya kurejea mateka wa Israel ni kuheshimu mapatano hayo.
Related Posts
Maandamano ya Kwanza Dhidi ya Sera za Trump huko Washington
Wakati ambapo Donald Trump, rais mteule wa Marekani, ameapishwa rasmi Jumatatu, tarehe 20 Januari, maandamano dhidi ya sera zake tayari…
Wakati ambapo Donald Trump, rais mteule wa Marekani, ameapishwa rasmi Jumatatu, tarehe 20 Januari, maandamano dhidi ya sera zake tayari…
Jeshi la Urusi linakomboa kijiji kingine cha Donbass
Jeshi la Urusi linakomboa kijiji kingine cha DonbassVikosi vya Urusi vilitwaa udhibiti wa Urozhaynoe, makazi yaliyotekwa mwaka jana na Kiev…
Jeshi la Urusi linakomboa kijiji kingine cha DonbassVikosi vya Urusi vilitwaa udhibiti wa Urozhaynoe, makazi yaliyotekwa mwaka jana na Kiev…
Independent: Chuki dhidi ya Waislamu nchini India zimeongezeka mnamo 2024
Ripoti iliyochapishwa na The Independent imefichua ongezeko kubwa la matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu wa India na dini nyingine…
Ripoti iliyochapishwa na The Independent imefichua ongezeko kubwa la matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu wa India na dini nyingine…