Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa, zinasitisha mchakato wa kuwaachia huru mateka wa Israel uliopangwa kutekelezwa Jumamosi ijayo hadi litakapotolewa tangazo jengine, kutokana na utawala wa Kizayuni kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Ghaza.
Related Posts
Wachezaji Waislamu wa timu ya taifa ya Ufaransa wazuiwa kufunga Ramadhani
Wachezaji wa soka Waislamu nchini Ufaransa wamepigwa marufuku kufunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wanapokuwa wakifanya mazoezi na timu…
Wachezaji wa soka Waislamu nchini Ufaransa wamepigwa marufuku kufunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wanapokuwa wakifanya mazoezi na timu…
Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo
Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano…
Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano…
Mapigano makali yaripotiwa kandokando ya ikulu ya rais mjini Khartoum, Sudan
Baadhi ya vyanzo vya ndani vimeripoti kuwa Jeshi la Sudan limefanya mashambulizi makali dhidi ya ngome za wapiganaji wa Vikosi…
Baadhi ya vyanzo vya ndani vimeripoti kuwa Jeshi la Sudan limefanya mashambulizi makali dhidi ya ngome za wapiganaji wa Vikosi…