Mkuu wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Muda ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban amesema kuasisiwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano wa kwanza wenye mafanikio wa kuunda utawala wa Kiislamu katika zama za sasa na kwamba utawala huo umekuwa na taathira kwa matukio ya kikanda.
Related Posts
Pezeshkian: Hatuhitaji Magharibi kulinda usalama wa eneo hili
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Russia kwa kushirikiana vizuri zinaweza kufuata sera…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Russia kwa kushirikiana vizuri zinaweza kufuata sera…
Kikao cha mawaziri wa AU chamalizika kwa mwito wa maendeleo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika wamemaliza Kikao chao cha 46 cha Kawaida cha Baraza la Utendaji la Umoja…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika wamemaliza Kikao chao cha 46 cha Kawaida cha Baraza la Utendaji la Umoja…
Namibia; nchi ya kwanza Afrika kuwa na Rais na Makamu wa Rais mwanamke
Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa…
Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa…