Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaweza akafikiria kusitisha msaada kwa Jordan na Misri ikiwa zitakataa kuwapokea Wapalestina, baada ya kutekeleza mpango wake wa kuwahamaisha kwa nguvu wananchi hao katika ardhi yao ya Ukanda wa Ghaza ili kulihodhi na kulimiliki eneo hilo lililowekewa mzingiro.
Related Posts
Uganda yasema imeweza kudhibiti mlipuko wa Ebola
Uganda imesema imeweza “kudhibiti” mlipuko wa hivi karibuni wa virusi vya Ebola aina ya Sudan, ambao ulithibitishwa na Wizara ya…
Uganda imesema imeweza “kudhibiti” mlipuko wa hivi karibuni wa virusi vya Ebola aina ya Sudan, ambao ulithibitishwa na Wizara ya…
Utawala wa Kizayuni wafanya njama za kudhibiti misaada inayoingia Ghaza
Maafisa kutoka mashirika matano makubwa ya misaada duniani na Umoja wa Mataifa wameonya leo Alkhamisi asubuhi kuhusu njama za utawala…
Maafisa kutoka mashirika matano makubwa ya misaada duniani na Umoja wa Mataifa wameonya leo Alkhamisi asubuhi kuhusu njama za utawala…
Jumatano, tarehe 09 Aprili, 2025
Leo ni tarehe 10 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 09, 2025. Post Views: 1
Leo ni tarehe 10 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 09, 2025. Post Views: 1