Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu karibuni hivi itazindua kombora la kisasa la cruise lenye uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi wa supersonic, lililotengenezwa na wataalamu wa humu nchini.
Related Posts
Pezeshkian: ECO ni jukwaa muhimu la ushirikiano baina ya nchi za Kiislamu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano kati ya nchi za Kiislamu na amesema:…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano kati ya nchi za Kiislamu na amesema:…
Wanasheria Tunisia: Kesi ya Instalingo ni njama ya Kisiasa ya kuwamaliza wapinzani wa serikali
Maamuzi yaliyotolewa na mahakama ya Tunisia katika kesi inayojulikama kama “Instalingo” yanaendelea kuibua hisia hasi kutoka kwa mawakili, wanaharakati wa…
Maamuzi yaliyotolewa na mahakama ya Tunisia katika kesi inayojulikama kama “Instalingo” yanaendelea kuibua hisia hasi kutoka kwa mawakili, wanaharakati wa…
Jeshi la Sudan linachunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu
Mkuu wa jeshi la Sudan ameunda kamati ya kuchunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati jeshi lake…
Mkuu wa jeshi la Sudan ameunda kamati ya kuchunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati jeshi lake…