Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuwa wanajeshi wasiopungua 75 wanatazamiwa kufikishwa mahakamani leo Jumatatu wakikabiliwa na shtaka la kuwakimbia wapiganaji wa kundi la waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda katika jimbo la Kivu ya Mashariki ya Kivu.
Related Posts
Baqaei: Marekani ijitayarishe kwa athari za hatua yoyote dhidi ya Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza katika ujumbe wake kwamba, tishio lolote la rais wa nchi…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza katika ujumbe wake kwamba, tishio lolote la rais wa nchi…
Jeshi la Iran laanza Luteka ya Zulfiqar-1403 pwani ya kusini
Vikosi tofauti vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza awamu kuu ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya…
Vikosi tofauti vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza awamu kuu ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya…
Beijing: Majeshi ya Iran, Russia, China kufanya mazoezi ya pamoja ya majini
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini yatakayohusisha vikosi vya wanamaji vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China…
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini yatakayohusisha vikosi vya wanamaji vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China…