Maamuzi yaliyotolewa na mahakama ya Tunisia katika kesi inayojulikama kama “Instalingo” yanaendelea kuibua hisia hasi kutoka kwa mawakili, wanaharakati wa kutetea haki za binadamu na timu ya utetezi kwa washtakiwa, ambao wanayataja maamuzi hayo kuwa yasiyo na mantiki wala msingi wa kisheria, na kwamba lengo lake ni kuwafutilia mbali wapinzani wa kisiasa wa serikali ya Tunis.
Related Posts
Hamas yatoa wito wa maandamano makubwa kupinga mipango ya kuwaondoa Wapalestina huko Gaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Wapalestina, Waarabu, Waislamu na watu huru kote duniani kushiriki…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Wapalestina, Waarabu, Waislamu na watu huru kote duniani kushiriki…
Rais wa Iran: Sehemu kubwa ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu yanasababishwa na kuwa mbali na mafundisho ya Qur’ani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake katika hafla ya kumalizika duru ya 41 ya Mashindano…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake katika hafla ya kumalizika duru ya 41 ya Mashindano…
Magaidi wafanya shambulio jingine baya la kigaidi Mali + Video
Takriban watu 40 wameuawa baada ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) kushambulia msafara wa usambazaji bidhaa katika nchi ya…
Takriban watu 40 wameuawa baada ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) kushambulia msafara wa usambazaji bidhaa katika nchi ya…