Suluhisho la kikanda ndiyo njia bora ya kumaliza mgogoro wa Kongo DR

Wakuu wa nchi wanachama katika jumuiya mbili za kikanda za Mashariki na Kusini mwa Afrika, jana Jumamosi, wafanya mkutano wa aina yake katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wakijaribu kutafuta suluhisho la kumaliza mgogoro wa mashariki mwa Kongo DR.