Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mkutano na makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na cha Ulinzi wa Anga vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima.
Related Posts
Kusimama imara muqawama wa Yemen kumeleta mabadiliko yapi Asia Magharibi?
Vikosi vya ulinzi vya Yemen vinaendelea kutekeleza oparesheni katika Bahari Nyekundu na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel);…
Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali
Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro…
Jaribio la mauaji ya Trump lilimshangaza sana Putin,
Jaribio la mauaji ya Trump lilimshangaza sana Putin, anasema msemaji wa Kremlin“Putin alishangaa sana, kwa sababu, kiwango ambacho kinapaswa kutolewa…