Katika taarifa isiyo na mfano wake na ya ghafla, Rais wa Marekani amesema mbele ya Waziri Mkuu wa Israel huko White House kwamba Marekani inanuia kuutwaa Ukanda wa Gaza na pia kuwa kuna uwezekano wa nchi hiyo kutambua rasmi udhibiti wa utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Related Posts

Marekani kutenga dola milioni 425 za msaada wa kijeshi kwa Kyiv, huku Australia ikipeleka vifaru 49 vya Abrams
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
Mafanikio ya kimkakati uliyopata Muqawama wa Lebanon chini ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Jana Jumapili Februari 23 yalifanyika mjini Beirut, Lebanon mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahi,…
Jana Jumapili Februari 23 yalifanyika mjini Beirut, Lebanon mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahi,…
Ijumaa, tarehe 24 Januari, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 23 Rajab 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 24 Januari 2025. Post Views: 21
Leo ni Ijumaa tarehe 23 Rajab 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 24 Januari 2025. Post Views: 21