Jeshi la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya maeneo tofauti ya kusini na mashariki mwa Lebanon, huo ukiwa ni ukiukaji mkubwa na wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati yake na nchi hiyo ya Kiarabu.
Related Posts
Hamas yasisitiza: Watu wa Palestina watasalia imara katika ardhi yao
Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekariri upinzani wake dhidi ya matamshi yaliyotolewa Rais Donald Trump wa Marekani…

Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel
Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi…

Chama cha Ben-Gvir chajitoa kwenye serikali ya Israel kupinga makubaliano ya usitishaji vita Ghaza
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Nguvu za Kiyahudi (Otzma Yehudit) cha waziri wa usalama wa ndani…