Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), imepinga njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kutaka kuipora Ghaza na kuwaondoa Wapalestina kwenye eneo lao hilo. Arab League imesema, mpango huo wa Trump ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
Related Posts
Hamas yataka walimwengu wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono Palestina Siku ya Quds
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa,…

Waasi wa M23 wakaribia kudhibiti kikamilifu mji muhimu wa Goma DRC
Waasi wa M23 wanaonekana kukaribia kuudhibiti mji muhimu wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia ripoti kwamba…

Kiongozi wa Chechnya anamshukuru Musk kwa Cybertruck na bunduki ya mashine (VIDEO)
Kiongozi wa Chechnya anamshukuru Musk kwa Cybertruck na bunduki ya mashine (VIDEO) Pickup ya Tesla itajaribiwa kwa vita katika mstari…