Mfumo wa kimkakati wa ulinzi wa anga wa masafa marefu wa Bavar 373 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umepasi katika majaribio kwa kutungua kwa umahiri vyombo vilivyokuwa vinaruka katika masafa ya juu angani. Hayo yamefanyika kwenye mazoezi ya kijeshi ya anga ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyopewa jina la Eqtedar 1403.
Related Posts
Aliyeteuliwa na Trump kuwa balozi UN: Israel ina ‘haki kibiblia’ ya kuupora Ukingo wa Magharibi wa Palestina
Aliyeteuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa amekuwa afisa wa karibuni…
Aliyeteuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa amekuwa afisa wa karibuni…
Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na…
Ambapo matatizo ya kweli huanza
Ambapo matatizo ya kweli huanza Eneo la Donbass, kitovu cha viwanda, linasalia kuwa kitovu cha operesheni za kijeshi katika mzozo…
Ambapo matatizo ya kweli huanza Eneo la Donbass, kitovu cha viwanda, linasalia kuwa kitovu cha operesheni za kijeshi katika mzozo…