Iran yamhutubu Trump: Mashinikizo mengine ya juu, kushindwa tena US

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, duru mpya ya kutekeleza sera ya “mashinikizo ya juu” ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu itapelekea kushindwa tena Washington.