London. Dirisha dogo la usajili England lilifungwa jana Februari 3, 2025 ambapo zaidi ya wachezaji 300 walihamishwa kutoka timu za madaraja tofauti nchini humo wengine wakihamia klabu za hapohapo na baadhi wakienda timu za nje ya England.
Sajili nyingi zimeonekana kufanywa na timu zinazoshiriki Ligi Kuu England (EPL) ambayo ni daraja la juu zaidi la ligi nchini humo.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji walioingia na kutoka katika klabu 20 zinazoshiriki EPL msimu huu.
Hakuna usajili wa mchezaji mpya ambao umefanywa na Arsenal huku yenyewe ikifungua milango kwa wachezaji wake watano.
Wachezaji watano walioondoka Arsenal ni Ayden Heaven, Josh Robinson, Marquinhos, Maldini Kacurri na Brian Okonkwo.
ASTON VILLA
Walioingia
Marcus Rashford, Donyell Malen, Andres Garcia, Marco Asensio na Axel Disasi.

Jhon Duran, Lewis Dobbin, Jaden Philogene, Diego Carlos, Emiliano Buendia, Samuel Iling-Junior, Charlie Lutz, Louie Barry, Travis Patterson, Joe Gauci, Kobei Moore, Kosta Nedeljkovic, Sił Swinkers na Kadan Young.
BOURNEMOUTH
Walioingia
Matai Akinmboni, Kai Crampton, Julio Soler, Daniel Jebbison, Zain Silcott-Duberry na Eli Junior.

Mark Travers, Lewis Brown, Finn Tonks, Phillip Billing, Max Aarons, Jonny Stuttle na Karlos Gregory.
Walioingia
Michael Kayode

Ashley Hay, Val Adedokun, Jayden Meghoma, Ellery Balcombe, Mads Roelslev, Michael Olakigbe, Ryan Trevitt, Tristan Crama, Tony Yogane, Kyreece Lisbie na Romelle Donovan.
Walioingia
Aaron Anselmino, Gabriel Slonina, Trevoh Chalobah na David Fofana.

Renato Veiga, Alex Matos, Kai Crampton, Zain Silcott-Duberry, Jimmy-Jay Morgan, Cesare Casadei, Caleb Wiley, Somto Boniface, Carney Chukwuemeka, Ben Chilwell na Harvey Val.
CRYSTAL PALACE
Walioingia
Malcolm Ebiowei, Romain Esse na Ben Chilwell.

Chris Francis, Jemiah Umolu, Asher Agbinone, Trevoh Chalobah, Luke Plange, Jadan Raymond Tayo Adaramola, Rob Holding na Jeffrey Schlup.
Walioingia
Tyler Onyango na Carlos Alcaraz.

Charlie Whitaker, Stanley Mills, Bradley Moonan na Harrison Armstrong.
Walioingia
Matt Dibley-Dias na Devan Tanton.
Olly Sanderson na Connor McAvoy.
IPSWICH TOWN
Walioingia
Ben Godfrey, Julio Enciso, Somto Boniface na Alex Palmer.
Harry Clarke, Ali Al-Hamadi, George Edmundson, Jokubas Mazionis, Ayyuba Jambang, Harry Barbrook, Henry Gray na Osman Foyo.
LEICESTER CITY
Walioingia
Woyo Coulibaly
Tom Cannon, Hamza Choudhury, Brandon Cover, Ben Gist, Will Alves, Arjan Raikhy na Oliver Ewing.
Walioingia
Rhys Williams, Marcelo Pitaluga, Calvin Ramsay, Tom Hill, Stefan Bajcetic, Kaide Gordon na Dominic Corness.
MANCHESTER CITY
Walioingia
Claudio Echeverri, Abdukodir Khusanov, Vitor Reis, Omar Marmoush na Nico Gonzalez.

Kyle Walker, Issa Kabore, Josh Wilson-Esbrand, Juma Bah na Jacob Wright.
MANCHESTER UNITED
Walioingia
Patrick Dorgu na Ayden Heaven.

Marcus Rashford, Antony, Ethan Ennis, Ethan Williams, Dan Gore, Ethan Wheatley, Joe Hugill na Jack Kingdon.
NEWCASTLE UNITED
Walioingia
Miguel Almiron, Isaac Hayden, Charlie McArthur, Alex Murphy, Travis Hernes, Jamie Miley na Lloyd Kelly.
NOTTINGHAM FOREST
Walioingia
Wayne Hennessey na Tyler Bindon.
Aaron Donnelly, James Ward-Prowse, Esapa Osong, Josh Bowler, Joe Gardner, Lewis O’Brien, Ben Perry, Fin Back na Emmanuel Denni.
SOUTHAMPTON
Walioingia
Welington, Joachim Kayi Sanda, Albert Gronbaek, Lewis Payne, Zach Awe, Izzet Furkan na Victor Udoh.
Samuel Amo-Ameyaw, Ronnie Edwards, Ben Brereton Diaz, Maxwel Cornet, Dom Ballard, Will Armitage, Shea Charles, Joe O’Brien-Whitmarsh na Gavin Bazunu.
TOTTENHAM HOTSPUR
Walioingia
Antonin Kinsky, Kevin Danso, Min-Hyeok Yang, Dane Scarlett, Matthew Craig na Mathys Tel.
Alfie Dorrington, Min-Hyeok Yang, Will Lankshear na Luca Gunte.
WEST HAM UNITED
Walioingia
James Ward-Prowse, Evan Ferguson na Josh Landers.
Maxwel Cornet na Michael Forbes.
Walioingia
Emmanuel Agbadou, Nasser Djiga na Marshall Munetsi.
Luke Cundle, Tawanda Chirewa