Afisa wa vyombo vya habari katika ofisi ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS inayoshuughulikia masuala ya mateka Wapalestina amethibitisha kuwa mateka 79 wa Kipalestina walioachiliwa huru na utawala wa Kizayuni wa Israel kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka Ghaza wamewasili Cairo baada ya kufukuzwa na utawala huo na kuhamishiwa nchini Misri.
Related Posts
Ulaya yakabiliwa na fedheha nyingine kutoka Marekani
Ikiwa ni katika mwendelezo wa fedheha dhidi ya Ulaya, Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amefuta mkutano…
Ikiwa ni katika mwendelezo wa fedheha dhidi ya Ulaya, Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amefuta mkutano…
Pyongyang yajibu mapigo, yavurumisha makombora baharini
Korea Kaskazini imevurumisha makombora kadhaa ya balestiki baharini leo Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Korea Kusini na Marekani…
Korea Kaskazini imevurumisha makombora kadhaa ya balestiki baharini leo Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Korea Kusini na Marekani…
Maelfu waandamana Washington dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa tena kuwa rais wa Marekani
Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.…
Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.…