Muungano wa waasi wa mashariki mwa Kongo likiwemo kundi la M23 watangaza kusitisha mapigano

Muungano kwa jina la The Alliance Fleuve Congo; muungano wa waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaolijumuisha pia kundi la waasi wa M23 umetangaza kusitisha mapigano kuanzia leo Jumanne Februari 4.