Vita vya Sudan vilivyosahaulika

Vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wwa RSF nchini Sudan vimehamia kwenye mji wa El Fasher.