Baada ya Donald Trump kuiambia Canada kuwa atatoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa za nchi hiyo zinazoingia Marekani, Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amejibu kivitendo hatua hiyo akitangaza kuwa bidhaa za Marekani zinazoingia nchini humo nazo zitatozwa ushuru wa asilimia 25.
Related Posts
Waasi wa M23 wauteka mji wa kistratajia mashariki mwa DRC
Waasi wa M23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameuteka mji wa mashariki wa Minova, njia kuu ya usambazaji wa…
Waasi wa M23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameuteka mji wa mashariki wa Minova, njia kuu ya usambazaji wa…
Spika wa Bunge la Iran: Trump anataka kuwahamisha watu wa Gaza na kupora ardhi ya Palestina
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutaka kuwahamisha…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutaka kuwahamisha…
Baghaei: Barua ya Rais wa Marekani kwa Iran inachunguzwa
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya…