Licha ya kuweko vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, lakini vituo vitatu vya anga za mbali vya Iran vimeendelea kuzalisha teknolojia ya kisasa ya anga za juu. Kwa kutegemea ujuzi wa wananchi wake na uwezo wa wataalamu wa ndani ya Iran, vituo hivi vimefanikiwa kufelisha vikwazo na kupata maendeleo makubwa katika uwanja wa satelaiti na kurusha satelaiti kwenye anga za mbali.
Related Posts
Vikosi vya Ukraine vinajaribu kuwaondoa wanajeshi wao waliotekwa na vitengo vya Urusi
Vikosi vya Ukraine vinajaribu kuwaondoa wanajeshi wao waliotekwa na vitengo vya Urusi“Tutazame: kuna majeruhi lakini majeraha haya yalitoka kwa ndege…
Vikosi vya Ukraine vinajaribu kuwaondoa wanajeshi wao waliotekwa na vitengo vya Urusi“Tutazame: kuna majeruhi lakini majeraha haya yalitoka kwa ndege…
Kundi la vita la Urusi Kusini lashinda vikosi vya brigedi saba za Ukraine
Kundi la vita la Urusi Kusini lashinda vikosi vya brigedi saba za UkraineKulingana na msemaji Vadim Astafyev, hadi wanajeshi 520…
Kundi la vita la Urusi Kusini lashinda vikosi vya brigedi saba za UkraineKulingana na msemaji Vadim Astafyev, hadi wanajeshi 520…
Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran
Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja…
Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja…