Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, amesema kuhusu mazungumzo yaliyofanywa kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ulaya kwamba, maelezo ya msingi ya upande wa Ulaya ni kuwa ‘vikwazo haviko mikononi mwetu, hatuna nafasi yoyote juu ya suala hilo na kadhia hii iko kwenye mamlaka ya Marekani’.
Related Posts
Rwanda yaanza kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi
Rwanda leo, tarehe 7 Aprili, imeanza shughuli za kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi yaliyofanywa…
Jumatano, tarehe Pili Aprili, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 3 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili Pili mwaka 2025. Post Views: 8
AU yataka Israel ishtakiwe kwa mauaji ya kimbari ya Ghaza na kutoshirikiana wala kuanzisha uhusiano nayo
Wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika AU wametoa wito, mwishoni mwa mkutano wa 38 wa kilele uliofanyika mjini…