Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Umoja wa Ulaya daima umekuwa ukipokea ishara za uchukuaji hatua zake za kisiasa kutoka Washington na utaendelea kufanya hivyo wakati huu Donald Trump akiwa madarakani; na kwamba licha ya baadhi ya viongozi wa umoja huo kupinga vikali kuchaguliwa tena Trump, rais huyo mpya wa Marekani “atarejesha utulivu” na utiifu wa EU “haraka sana”.
Related Posts
Ghalibaf: Changamoto ya uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Afrika ni usafiri
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa…
Kiongozi Muadhamu: Maandamano dhidi ya Israel yanaashiria kuungwa mkono zaidi Palestina duniani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano na mikusanyiko dhidi ya Israel barani Ulaya na…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano na mikusanyiko dhidi ya Israel barani Ulaya na…
Balozi wa Palestina Ghana: Ari ya mapambano ya Wapalestina kamwe haitazimwa
Balozi wa Palestina nchini Ghana amesema kuwa, ari na moyo wa mapambano ya Wapalestina kamwe haitazimwa na kwamba, Wapalestina wataendelea…
Balozi wa Palestina nchini Ghana amesema kuwa, ari na moyo wa mapambano ya Wapalestina kamwe haitazimwa na kwamba, Wapalestina wataendelea…