Mazishi ya kiongozi wa muda mrefu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yatafanyika Februari 23, miezi kadhaa tangu alipouawa shahidi katika shambulio la kigaidi la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Related Posts
Hamas: Kufunga vivuko vya Ukanda wa Gaza ni jinai ya kivita
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kufunga kwa siku tatu mfululizo…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kufunga kwa siku tatu mfululizo…
Alkhamisi, 13 Februari, 2025
Leo ni Akhamisi 14 Sha’ban 1446 Hijria sawa na 13 Februari 2025 Milaadia. Post Views: 23
Leo ni Akhamisi 14 Sha’ban 1446 Hijria sawa na 13 Februari 2025 Milaadia. Post Views: 23
Rwanda yakaribisha uamuzi wa waasi wa M23 kuondoka katika mji wa Walikale
Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini…
Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini…