Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali huko Gaza imesema kuwa vita vya maangamizi vilivyoanzishwa na utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza vimeua shahidi zaidi ya Wapalestina 61,000, na kuwalazimisha wengine zaidi ya milioni mbili kuwa wakimbizi, na kwamba baadhi yao walilazimika kukimbia zaidi ya mara 25, katika maafa ambao hayajawahi kutokea katika historia.
Related Posts

Zelensky anadai Kiev ilitumia ndege ya kivita iliyotengenezwa Marekani kwa mara ya kwanza
Zelensky anadai Kiev ilitumia ndege ya kivita iliyotengenezwa Marekani kwa mara ya kwanzaKiongozi wa Ukraine amesema kuwa ndege za F-16…
Zelensky anadai Kiev ilitumia ndege ya kivita iliyotengenezwa Marekani kwa mara ya kwanzaKiongozi wa Ukraine amesema kuwa ndege za F-16…
WFP yasimamisha usambazaji wa chakula Darfur Kaskazini, Sudan
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesitisha usambazaji wa chakula cha msaada katika kambi ya wakimbizi ya Zamzam nchini…
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesitisha usambazaji wa chakula cha msaada katika kambi ya wakimbizi ya Zamzam nchini…
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Tutaendeleza njia ya Sayyid Hassan Nasrullah hata kama sote tutauawa
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika mazishi na shughuli ya kuisindikiza miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na…
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika mazishi na shughuli ya kuisindikiza miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na…