Ripoti mbalimbali zinaeleza kuwa licha ya kurejea utulivu wa kiwango fulani katika mji wa Goma, makao makuu ya jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mashirika ya misaada ya kibinadamu yameonya juu ya kushtadi hali ya mambo huku hospitali zikizidiwa na wagonjwa, uhaba wa vifaa muhimu vya tiba ukishuhudiwa na miili ya watu waliouawa ikiendelea kuonekana mitaani.
Related Posts
Vikwazo; Fimbo ya Magharibi katika sera ya kigeni
Wakati Marekani na nchi za Ulaya zimekuwa na nafasi kubwa katika kuwawekea mashinikizo ya kiuchumi watu wa Syria kwa kutumia…
Wakati Marekani na nchi za Ulaya zimekuwa na nafasi kubwa katika kuwawekea mashinikizo ya kiuchumi watu wa Syria kwa kutumia…
Jeshi la Kizayuni lavamia nyumba kwa nyumba Ukingo wa Magharibi, lawakamata Wapalestina 200
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya uvamizi wa nyumba kwa nyumba katika mji wa Palestina wa Azzun, mashariki…
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya uvamizi wa nyumba kwa nyumba katika mji wa Palestina wa Azzun, mashariki…
Iran na Malaysia zasisitiza kuimarisha zaidi ushirikiano
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Malaysia wamesisitiza azma ya nchi zao ya kuimarisha…
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Malaysia wamesisitiza azma ya nchi zao ya kuimarisha…