Kundi moja la Muqawama la Syria limetoa taarifa muhimu ya kijeshi kuhusiana na shambulio la asubuhi ya jana Jumamosi dhidi ya wanajeshi wa Israel katika mashamba ya Quneitra kusini mwa Syria na kutangaza kuanza rasmi Muqawama wa kukomboa ardhi za nchi hiyo zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Related Posts
Sudan yaafiki kuanzishwa nchini humo kambi ya jeshi la wanamaji la Russia
Khartoum na Moscow zimekubaliana juu ya kuanzishwa kituo cha jeshi la wanamaji la Russia nchini Sudan. Post Views: 23
Khartoum na Moscow zimekubaliana juu ya kuanzishwa kituo cha jeshi la wanamaji la Russia nchini Sudan. Post Views: 23
Moto waua 50 katika ukumbi wa starehe Macedonia Kaskazini
Moto uliokumba klabu ya anasa katika mji wa Kocani, Macedonia Kaskazini usiku wa manane wa kuamkia leo umesababisha makumi ya…
Moto uliokumba klabu ya anasa katika mji wa Kocani, Macedonia Kaskazini usiku wa manane wa kuamkia leo umesababisha makumi ya…
China yajibu mapigo dhidi ya ushuru mpya wa Trump
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani. Post Views: 15
China imetangaza kujibu mapigo ya ushuru uliotangazwa dhidi ya nchi hiyo na Rais Donald Trump wa Marekani. Post Views: 15