Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana Dk Munir Mustapha amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha mfumo wa dunia na ameyataja kuwa ndiyo yenye nguvu kubwa na ambayo yamekuwa na taathira kubwa imeyozidisha ushawishi wa Iran katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumbe wake wa demokrasia ya kidini.
Related Posts
UN yaonya tena: Sudan Kusini inakaribia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa Sudan Kusini iko kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huku ghasia kati ya…
Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua 44 msikitini Niger
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amelaani vikali shambulio la kigaidi la karibuni dhidi ya…
EAC na SADC zawateua marais wastaafu wa Afrika kusuluhisha mzozo wa Kongo DR
Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC zimewateua Uhuru Kenyatta kutoka Kenya, Olusegun…