Sami Abu Zuhri, kiongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), amesema kuwa tangazo la mara kwa mara la Marekani la kuwatimua wakazi wa Ukanda wa Gaza katika eneo hilo kwa kisingizio cha kulijenga upya ni kielelezo cha kushiriki Washington katika jinai za utawala uo, baada ya Israel kufanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya miezi 15.
Related Posts
Risasi kubwa huko Tel Aviv – media (VIDEOS)
Risasi kubwa huko Tel Aviv – media (VIDEOS)Polisi wameripotiwa kuwaua watu wawili wenye silaha waliohusika na shambulio hiloRisasi kubwa huko…
Risasi kubwa huko Tel Aviv – media (VIDEOS)Polisi wameripotiwa kuwaua watu wawili wenye silaha waliohusika na shambulio hiloRisasi kubwa huko…

Marekani inarudia makosa ya USSR katika Mashariki ya Kati
Marekani inarudia makosa ya USSR katika Mashariki ya Kati Ushawishi wa Soviet katika Mashariki ya Kati hatimaye haukuwa na maana,…
Marekani inarudia makosa ya USSR katika Mashariki ya Kati Ushawishi wa Soviet katika Mashariki ya Kati hatimaye haukuwa na maana,…
Hamas yataka walimwengu wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono Palestina Siku ya Quds
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa,…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa,…