Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukomesha ghasia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambako mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23 yamesababisha watu zaidi ya 700 kuuawa huku wengine wasiopungua 2,800 wakijeruhiwa katika kipindi cha siku tano.
Related Posts
Euro-Med Human Rights Monitor: Israel inatumia mateso kama silaha
Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limeeleza mshtuko wake mkubwa kutokana na hali mbaya ya…

Pezeshkian: Silaha za nyuklia hazina nafasi katika doktrini ya Jamhuri ya Kiislamu
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema nchi yake haitafuatilii vita wala silaha za nyuklia, kwani mafundisho ya Jamhuri ya Kiislamu…

Jumapili, Pili Februari, 2025
Leo ni Jumapili tarehe Tatu Shaaban 1446 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe Pili Februari 2025 Miladia. Post Views: 12