Waasi wa kundi la M23 la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linaloungwa mkono na Rwanda, ambalo limeteka mji mkubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo, Goma, wametangaza nia yao ya kupeleka vita katika mji mkuu, Kinshasa, huku Rais Félix Tshisekedi akitoa wito wa kuandaliwa jeshi kubwa kukabiliana na mashambulizi hayo.
Related Posts
Mazungumzo yaliyogubikwa na mvutano mkubwa kati ya Trump na Zelensky
Viongozi wenye mielekeo ya Kimagharibi wa Ukraine waliipa mgongo Russia baada ya matukio ya mwaka 2014 na kuingia madarakani serikali…

Malengo ya kisiasa na kiuchumi inayofuatilia Iran katika eneo la Amerika ya Latini
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Colombia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu wakitilia mkazo kupanuliwa na kustawishwa…

Uganda yatuma wanajeshi zaidi DRC, huku mzozo ukiendelea
Jeshi la Uganda limethibitisha kutuma wanajeshi wake katika mji mwingine kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupambana na…