Najib Miqati Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon amesisitiza kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yanakiuka wazi mamlaka ya kujitawala ya Lebabon na ni ukiukaji mkubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa baina ya pande mbili.
Related Posts
Vita vya ushuru kati ya Marekani na China: Beijing kukabiliana na ubabe wa Washington
Rais Xi Jin Ping wa China amesisitiza katika mazungumzo na Pedro Sanchez, Waziri Mku wa Uhispania ulazima wa kuimarisha ushirikiano…
Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15
Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.…
China yaionya Marekani, yaitaka iache kuingilia ushirikiano wake wa kibiashara na Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa kuitaka iache kuingilia ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi…