Brigedi za Hizzuddin al Qassam , Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, zimethitibisha habari kuuawa shahidi makamanda wake kadhaa katika mashambulizi ya kikatili ya Israel kwenye eneo lililozingirwa kila upande la Ghaza, akiwemo mkuu wake wa majeshi, Mohammed Deif.
Related Posts

MZOZO WA MWANA MZOZO:MAREKANI ITAMUUA TRUMP KISHA IMSINGIZIE IRAN
Bwana Mizozo taarifa zako ni nzuri na zina vyanzo sahihi na makini ila kuwa makini sana na taarifa za kiintelijensia…

Qader-1; Kombora la Hezbollah lilitumika kushambulia Tel Aviv
Qader-1; Kombora la Hezbollah lilitumika kushambulia Tel AvivTEHRAN, Septemba 25 (MNA) – Vuguvugu la Upinzani la Lebanon, Hezbollah, limerusha kombora…

Umoja wa Mataifa: Shirika la UNRWA halina mbadala
Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika barua yake kwa Israel kwamba…