Aliyehusika na matukio kadhaa ya kuvunjia heshima Qur’ani aangamizwa

Salwan Momika mtu aliyezua maandamano na ghasia baada ya kuchoma moto Qur’ani Tukufu ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Sweden.