Kufuatia kusitishwa mapigano katika maeneo ya kusini mwa Lebanon na Ukanda wa Ghaza, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeanzisha operesheni mpya katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Operesheni hiyo ambayo malengo yake halisi hayajatajwa, imezusha wasiwasi kutokana na kuendelea kwake sambamba na tangazo lililotolewa na Trump la kutaka Wapalestina wa Ghaza wahamishiwe katika nchi za Misri na Jordan.
Related Posts

Urusi ina rekodi ya mabilionea – Forbes
Urusi ina rekodi ya mabilionea – Forbes Mkuu wa zamani wa kampuni kubwa ya nishati Lukoil, Vagit Alekperov, aliongoza orodha…
Urusi ina rekodi ya mabilionea – Forbes Mkuu wa zamani wa kampuni kubwa ya nishati Lukoil, Vagit Alekperov, aliongoza orodha…
Balozi wa UN aionya US kuiweka Ansarullah kwenye orodha ya magaidi
Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen, Hans Grundberg ameonya kuhusu athari mbaya za Marekani kuitambua Harakati…
Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen, Hans Grundberg ameonya kuhusu athari mbaya za Marekani kuitambua Harakati…
Guterres asisitiza kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Gaza/ Iran pia yatoa wito wa kuchukuliwa hatua kimataifa kusitisha mauaji ya kimbari dhidi ya Gaza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kurejea haraka iwezekanavyo katika makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Post…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kurejea haraka iwezekanavyo katika makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Post…