Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika barua yake kwa Israel kwamba Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA haliwezi kuwa na mbadala na kwamba na litaendelea kufanya kazi zake huko Palestina.
Related Posts
Algeria yamwita balozi wa Ufaransa kulalamikia vitendo vya ‘kichokozi’ dhidi ya raia wake katika viwanja vya ndege vya Paris
Algeria imemwita balozi wa Ufaransa mjini Algiers, Stephane Romatet jana Jumanne, na kuwasilisha malalamiko makali ya kupinga “mwenendo wa kichochezi”…
Algeria imemwita balozi wa Ufaransa mjini Algiers, Stephane Romatet jana Jumanne, na kuwasilisha malalamiko makali ya kupinga “mwenendo wa kichochezi”…
“Hapana” ya watumiaji wa X wa Iran kwa ombi la Trump: Hatutazungumza na Marekani kwa sababu hatuiamini!
Parstoday- Watumiaji wa Kiirani wa mtandao wa kijamii wa “X” wameitaja hatua ya Rais wa Marekani ya kujionyesha kuwa tayari…
Parstoday- Watumiaji wa Kiirani wa mtandao wa kijamii wa “X” wameitaja hatua ya Rais wa Marekani ya kujionyesha kuwa tayari…

Silaha nzito za Kiukreni zilizoharibiwa katika Mkoa wa Kursk
Silaha nzito za Kiukreni zilizoharibiwa katika Mkoa wa Kursk Ndege isiyo na rubani ya Lancet ya Urusi ilichomoa kifaru cha…
Silaha nzito za Kiukreni zilizoharibiwa katika Mkoa wa Kursk Ndege isiyo na rubani ya Lancet ya Urusi ilichomoa kifaru cha…