Rais Donald Trump wa Marekani ameendeleza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kufuta idhini ya serikali ya Biden kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), na kutangaza kuwa anaunga mkono uamuzi wa utawala huo wa kufunga ofisi ya UNRWA huko Quds Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
Related Posts
Yemen yaitaka Riyadh ijifunze kutokana na hatma ya Zelensky
Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewaonya maafisa wa Saudi Arabia na kuwataka wapate somo na ibra kutokana…
Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa…

Mahojiano ya Trump na Musk yakumbwa na changamoto za kiufundi
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…