Katika siku za mwanzo za muhula wake wa pili wa uongozi, Donald Trump, rais mpya wa Marekani, kwa mara nyingine tena amefuata njia ile ile aliyopitia katika muhula wa kwanza wa uongozi wake. Katika muhula wa kwanza, Trump alitoa uungaji mkono mkubwa na ambao haujashuhudiwa kwa utawala wa Kizayuni na kuchukua hatua mpya sambamba na kuiunga mkono Israel na kuwapinga Wapalestina. Vitendo na misimamo hii imekutana na majibu chanya kutoka Tel Aviv.
Related Posts
Operesheni ya Jeshi la Somalia yaua magaidi 70 wa Al-Shabaab katika jimbo la Hirshabelle
Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa vikosi vya jeshi vikishirikiana na vikosi vingine vya ndani vimewaua wanamgambo wapatao 70…
Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa vikosi vya jeshi vikishirikiana na vikosi vingine vya ndani vimewaua wanamgambo wapatao 70…
Trump apendekeza Wapalestina wa Ghaza wahamishwe na kupelekwa Misri na Jordan
Rais Donald Trump wa Marekani amependekeza Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wahamishwe katika ardhi yao hiyo na kupelekwa nchi jirani…
Rais Donald Trump wa Marekani amependekeza Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wahamishwe katika ardhi yao hiyo na kupelekwa nchi jirani…
Arab League yalaani wazo la Netanyahu la kuwahamishia Wapalestina Saudia
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye…
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye…