Kundi la kutetea haki za binadamu Ulaya-Mashariki ya Kati limeelezea wasiwasi wake mkubwa juu ya pendekezo la hivi karibuni la Donald Trump la kuwahamishia wakazi wa Gaza na kuwapeleka Misri na Jordan, likitoa wito wa kuwepo upinzani mkali wa kikanda na kimataifa dhidi ya wazo hilo.
Related Posts
Araghchi: Maadui watajuta kwa kutoa vitisho dhidi ya Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu mtu yeyote kuzungumza nayo kwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu mtu yeyote kuzungumza nayo kwa…
Diplomasia hai ya Iran katika kukabiliana na migogoro inayoibuliwa na utawala wa Kizayuni katika eneo
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia matukio ya eneo, yakiwemo ya…
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia matukio ya eneo, yakiwemo ya…
Independent: Chuki dhidi ya Waislamu nchini India zimeongezeka mnamo 2024
Ripoti iliyochapishwa na The Independent imefichua ongezeko kubwa la matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu wa India na dini nyingine…
Ripoti iliyochapishwa na The Independent imefichua ongezeko kubwa la matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu wa India na dini nyingine…