Msemaji wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, anamewatolea wito wanajeshi na wapiganaji wote wanaosaidiana katika vita na wapiganaji wa M23 kummaliza “adui popote alipo” kama mojawapo ya njia za kulipiza kisasi kwa mauaji ya Meja Jenerali Peter Cirimwami Nkuba aliuawa hivi karibuni.
Related Posts

Iraq yalaani shambulio la Israel dhidi ya Iran na kutangaza kuwa pamoja na Tehran
Msemaji wa serikali ya Iraq amesema: Baghdad inalaani uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran na kwamba, nchi…
Msemaji wa serikali ya Iraq amesema: Baghdad inalaani uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran na kwamba, nchi…
Chakula kinachozalishwa maabara kuanza kuuzwa mitaani
Vyakula vilivyotengenezwa maabara vinakuzwa kuwa tishu za mimea au wanyama kutoka kwenye seli ndogo. Post Views: 13
Vyakula vilivyotengenezwa maabara vinakuzwa kuwa tishu za mimea au wanyama kutoka kwenye seli ndogo. Post Views: 13

Wapiganaji wa Hizbullah watangaza utiifu kwa kiongozi mpya, wasema adui anawaogopa
Wapiganaji wa harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wametangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya wa harakati hiyo huku wakisisitiza…
Wapiganaji wa harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wametangaza utiifu wao kwa kiongozi mpya wa harakati hiyo huku wakisisitiza…