Rais Donald Trump wa Marekani ameanza muhula wake wa pili wa uongozi huku akiweka hadharani uroho wake wa kupora ardhi, biashara na fedha za mataifa mengine ambapo ametangaza wazi azma yake ya kutaka kunyakua na kuunganisha ardhi za nchi huru na Marekani na pia kuhodhi kandarasi zenye faida kubwa kutoka kwa washirika wa Washington.
Related Posts
Ripoti: Wamarekani wanahamia Mexico kukwepa sera za kibaguzi za Trump
Katika jitihada za kukwepa siasa na sera za Rais Donald Trump wa chama cha Republican, Wamarekani, baadhi yao wakiwa na…
Katika jitihada za kukwepa siasa na sera za Rais Donald Trump wa chama cha Republican, Wamarekani, baadhi yao wakiwa na…
UN: Pande mbili za vita vya wenyewe kwa wenyewe Kongo DR vinafanya mauaji, ubakaji
Umoja wa Mataifa umezishutumu pande mbili za vita vya wenyewe kwa wenyewe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa zinahusika…
Umoja wa Mataifa umezishutumu pande mbili za vita vya wenyewe kwa wenyewe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa zinahusika…
Eslami: Upande wa Ulaya umeiambia Iran kuwa ‘uondoaji vikwazo hauko kwenye mamlaka yetu’
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, amesema kuhusu mazungumzo yaliyofanywa kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ulaya…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, amesema kuhusu mazungumzo yaliyofanywa kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ulaya…