Waziri Mkuu wa Slovakia: Ukraine haitaweza katu kujiunga na NATO, ni baidi pia kupata uanachama wa EU

Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico amesema, Ukraine haitaweza katu kujiunga na shirika la kijeshi la NATO, na ni baidi pia kuwa jitihada zake za kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya zitafanikiwa.