Katika hatua inayoonekana kuwa ya kuonyesha uwezo wao wa kijeshi na kuutunishia misuli utawala wa Kizayuni wa Israel, wanamapambano wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, jana walijitokeza na bunduki za Israel aina ya Tavor wakati wa makabidhiano ya wanajeshi wanne wa kike wa utawala huo wa Kizayuni katika mji wa Ghaza.
Related Posts
Idadi ya waliofariki dunia kwa mafuriko DRC yaongezeka, vita vinaendelea
Mbali na majanga ya ukosefu wa amani na vita baina ya makundi hasimu, majanga ya kimaumbile yanaikumba pia Jamhuri ya…
Mbali na majanga ya ukosefu wa amani na vita baina ya makundi hasimu, majanga ya kimaumbile yanaikumba pia Jamhuri ya…
Mkutano wa Mazungumzo ya Syrian waitaka Israel kuondoa kwenye ardhi ya nchi hiyo
Mkutano wa Kitaifa wa Mazungumzo ya Syria umeitaka Israel kuondoa katika ardhi ya nchi hiyo, na kusisitiza udharura wa kulindwa…
Mkutano wa Kitaifa wa Mazungumzo ya Syria umeitaka Israel kuondoa katika ardhi ya nchi hiyo, na kusisitiza udharura wa kulindwa…
Masharti ya Iran katika kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza wazi masharti yake ya kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi, huku ikisisitiza kutofanya mazungumzo…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza wazi masharti yake ya kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi, huku ikisisitiza kutofanya mazungumzo…