Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limechukua udhibiti kamili wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha al Jaili karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum huku gavana mmoja wa nchi hiyo akiripoti kuuawa watu zaidi ya 70 katika shambulio la droni lililotekelezwa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko al Fasher magharibi mwa Sudan.
Related Posts
Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu yaanza nchini kote
Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yameanza kote nchini Iran ikiwa ni…
Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yameanza kote nchini Iran ikiwa ni…
HAMAS yaisihi dunia: Msiiache Ghaza ‘inayovuja damu’ iyakabili ‘mauaji ya halaiki’ peke yake
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa ombi la kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha “uangamizaji kizazi wa kimpangilio…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa ombi la kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha “uangamizaji kizazi wa kimpangilio…
Maafisa wa US yumkini wakapelekwa ICC kwa kuzuia haki
Afisa wa zamani wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Craig Mokhiber ameonya kuwa, maafisa wa Marekani wanaoishambulia Mahakama…
Afisa wa zamani wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Craig Mokhiber ameonya kuwa, maafisa wa Marekani wanaoishambulia Mahakama…