Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Masuala ya Wanawake ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu halina msingi wowote wa kisheria na linaonyesha tabia ya uingiliaji ya chombo hicho.
Related Posts
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kupanua uhusiano na majirani ni sera ya uhakika ya Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: kupanua uhusiano na majirani ni sera ya uhakika ya Jamhuri ya Kiislamu…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: kupanua uhusiano na majirani ni sera ya uhakika ya Jamhuri ya Kiislamu…
Iran yasisitizia kuharakishwa utekelezaji wa makubaliano kati yake na Qatar
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kutilia mkazo…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kutilia mkazo…
Kwa nini ni muhimu Uimwengu wa Kiislamu uchukue msimamo mmoja dhidi ya utawala wa Kizayuni?
Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu…
Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu…