Gavana wa kijeshi katika Jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC amefariki dunia kutokana na majeraha aliyopata wakati wa mapambano kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 huko Goma, makao makuu ya jimbo hilo.
Related Posts
“Hatutajadili mamlaka ya Lebanon”, asema Rais Aoun baada ya Israel kuua Walebanon 15
Rais wa Lebanon, Joseph Aoun amesema “mamalaka ya kujitawala Lebanon na ardhi yake ni jambo lisiloweza kujadiliwa”. Amesema hayo baada…

Bunge la Afrika Mashariki lasimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kwa sababu za kifedha
Bunge la nchi za Afrika Mashariki, EALA limetangaza kuwa limesimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha,…

Afrika Kusini: Tunaendelea kushikamana na wananchi wa Palestina
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa nchi hiyo itaendelea kushikakama na kuwa pamoja na wananchi wa Palestina. Post…