Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iMEsema kamanda maarufu wa Palestina ataachiliwa leo ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya pili ya wafungwa na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza kuanza kutekelezwa wiki iliyopita.
Related Posts
Msemaji wa Serikali ya Iran: Uuzaji nje mafuta hauwezi kusitishwa
Msemaji wa Serikali ya Iran amesisitiza kuwa uuzaji nje mafuta wa Iran hauwezi kusimamishwa na hakukuwa na haja ya kuwekwa…

WFP yapunguza mgao wa chakula katika oparesheni zake nchini Burundi
Ongezeko kubwa la wakimbizi wanaohitaji msaada limesababisha mashinikizo makubwa kwa oparesheni ya usambazaji misaada ya chakula ya Shirika la Mpango…

Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine
Msemaji wa Kremlin amekosoa himaya ya kifedha na kisiasa ya Washington kwa serikali ya Kiev na kusema: Marekani inapata pesa…