Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel halitaondoka kusini mwa Lebanon utakapomalizika muhula uliowekwa wa siku 60 kesho Jumapili kulingana na makubaliano ya kusitisha vita yaliyofikiwa kati ya Israel na harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.
Related Posts
Biden aliionya Israel kuepuka maeneo ya nyuklia na mafuta ya Iran
Biden aliionya Israel kuepuka maeneo ya nyuklia na mafuta ya Iran Utawala wa Biden umesema Israel ina haki ya…
Ijumaa, tarehe 28 Februari, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 29 Shaaban 1446 Hijria sawa 28 Februari 2026. Post Views: 17
Mashambulizi ya Marekani Yemen yavuruga uuzaji wa chai ya Kenya
Biashara ya chaki ya Kenya imeingia matatani baada ya Marekani na Uingereza kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Yemen na kupelekea…