Rais wa Comoro, Azali Assoumani kwa mara ya kwanza amesema hadharani kuwa ana nia ya kukabidhi madaraka kwa mwanawe Nour El Fath atakapoondoka madarakani mwaka wa 2029; na kuthibitisha tetesi za wakosoaji wake kwamba amekuwa akimtayarisha kwa muda mrefu mwanawe kumrithi.
Related Posts
Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas…
Biden anasema shambulio dhidi ya Kursk linaleta ‘tanziko halisi’ kwa Urusi
Biden anasema shambulio dhidi ya Kursk linaleta ‘tanziko halisi’ kwa UrusiKulingana na waandishi wa habari wa White House, Biden alisema…
Biden anasema shambulio dhidi ya Kursk linaleta ‘tanziko halisi’ kwa UrusiKulingana na waandishi wa habari wa White House, Biden alisema…
Israel ‘yaumbuka’ baada ya vidio kufichua ukweli halisi kuhusu mauaji ya wahudumu 15 wa tiba
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…