Idadi ya watoto wa Kipalestina walioachwa yatima kutokana na vita vya siku 471 vya mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza imefikia zaidi ya 36,000, huku takriban wanawake 14,000 wakibakia baada ya waume zao kuuawa kufuatia hujuma na mashambulio ya kinyama ya Israel katika ukanda huo.
Related Posts
Jeshi la Iran laanza awamu ya pili ya luteka ya ulinzi wa anga ya ‘Eqtedar 1403’ kusini magharibi ya nchi
Jeshi la Iran limeanza awamu ya pili ya mazoezi ya ulinzi wa anga ya “Eqtedar 1403”, yanayolenga kulinda anga ya…
Jeshi la Iran limeanza awamu ya pili ya mazoezi ya ulinzi wa anga ya “Eqtedar 1403”, yanayolenga kulinda anga ya…
Afrika ilikuwa na zaidi ya miripuko 200 ya magonjwa mwaka 2024
Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) vimeonya kuhusu ongezeko kubwa la dharura la afya ya umma…
Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) vimeonya kuhusu ongezeko kubwa la dharura la afya ya umma…
Iran yaiambia EU: Kwanza jifunzeni maana ya ’tishio’ na ‘amani’ ndipo muwatuhumu wengine
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeushauri Umoja wa Ulaya kwenda kujifunza kwanza maana ya “tishio” , “amani” na…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeushauri Umoja wa Ulaya kwenda kujifunza kwanza maana ya “tishio” , “amani” na…